NORWAY
Norway ni inchi
inayo kadiliwa kua
na watu milioni
tano na watu
wengi uzungumza lugha
ya kinorway huitwa
norsks , lugha hii
kuthaminiwa na kuheshimiwa
sana na wanorway
wenyewe, kama aujui
lugha hii inakuwepo
ngumu kupata kazi
kwasababu lugha hii
utumika mashuleni ,vyuoni
na maofisini hata
kwenye vitabu huwandikwa
lugha hiyo.
Norway ni inchi
yenye vivutio mbalimbali
vya utali vikiwemo
kama milima ,
bahari na sehemu
za kihistoria mbalimbali.
Norway ina
miji mikubwa tofauti pia
inawakazi wengi sana
wakazi wengi
wao ujishughulisha mambo
mbalimbali kama swala
la uvuvi kwakua
norway imezungukwa na
bahari kwa kiasi kikubwa sana kwakua wakazi wengi
ujishughulisha na uvuvi kwa kutumia vyombo vya kisasa na kiatalamu zaidi , kama mji wa
tromsø wakazi wengi
ni wavuvi kwa kiasi kikubwa . .
Katika swala
la elimu norway
utolewa bure kuzingatia kutokana
na maendeleo ya mwanafuzi
,pia mtoto anakua
chini ya uwangalizi wa
serikali endapo ukishindwa kumsomesha serikali
inachukua hilo jukumu la
mtoto kumuendeleza katika
swala la elimu,pia
mtoto anandaliwa katika
mazingira mazuri ya
kusoma tangu nyumbani
kuhakisha anakula vizuri , anavitabu vya kutosha,
anamuda wa kupumzika
hivyo hivyo shule
wanahakikisha kwamba kuna
vitendea kazi kama
vile kompyuta, vitabu,.
vifaa vya michezo,
walimu wa kutosha
na majengo yanayo
hikizi mahitaji ya wanafuzi
husika .
Norway katika
swala huduma za
maktaba hutolewa bure
kutoka na kiwango
cha elimu hutolewa
bure hivyo hivyo maktaba zinazo vutia
na zenye nyanja
tofauti za kuvutia
kama kompyuta zenye
internet na vitabu
vya kutosha vya
kila lika watoto na
watu wazima pia
majengo ya kisasa
ambayo ina wavutia watu
kusoma vizuri pasipo
usumbufu wowote mfano
sehemu ya watoto
huwekwa vitu vya
kuchezea mbalimbali kama
miduli , picha
za katuni inampelekea
mtoto kujifuza mapema
na haraka zaidi shuleni.
JE TANZANIA TUTAFIKA PALE TUNAPOTAKA KUFIKA KAMA INCHI ZA NJEE?